
Hapa nimekuweke vyakula ambavyo Haitakuwa vizuri kwa Afya yako kama utakosa vitano kati ya hivi Kwa siku iwe ni katika Chakula cha mchana/usiku. Vyakula hivi vitakusaidi kujenga mwili wako na kukupa kinga ya mwili hii itasaidia kutopatwa na magonjwa ya mara kwa mara Na kukupa kinga yamwili Pia inakusaidia ngozi kuwa na mwonekano Halisi.







No comments:
Post a Comment