Kama kawaida ya mrembo huyu Ny amekuwa akipamba majarida makubwa duniani kwa picha zake hasa za nusu utupu na kwa upande wake anaona kawaida na sio swala la ajabu kwake kwani nikutokana na tamaduni za wenzetu. Mrembo huyo ambaye ni X-Gfriend wa nyota wa Rnb Chris brown kwa mujibu wa mtandao wa Dailymail umeweka picha ambazo inasemekana Rihana alizi piga kwa ajili ya jarida la Vogue linalo husu maswala ya urembo. Picha zote nimekuwekea hapo chini.
Home
»
Gossip
»
Photos
»
Kwa Mashabiki wa Rihana: Hizi ni picha hizi ni picha 14 za nusu Utupu alizopiga Brazili kwa ajili ya Jarida la VOGUE

No comments:
Post a Comment