Friday, May 2, 2014

Lady Jay Dee, Roma na Profesa Jay kuweka historia katika 'Historia Concert' Leo

‘Historia Concert’ ya Lady Jay Dee, ni tamasha la Historia litakalofanyika leo (May 2) Nyumbani Lounge.
Lady Jay Dee na Machozi Band watapewa sapoti kubwa na wakali wa hip hop Tanzania. Kipi Sijasikia itapigwa Live na Profesa Jay huku Roma akiwakaribisha mashabiki kwenye Karamu na ‘KKK’.
100.5 Times Fm ni imedhamini tamasha hilo.
Jide ameandika katika ukurasa wake wa Facebook ujumbe kwa mashabiki wa ‘Anaconda’:
 “Fanya hivi pita Shear Illusions -Mlimani City, City Sports Lounge -Posta , American Nails n Hair Salon -Kinondoni, Nyumbani Lounge na Million Hairs Salon
Ununue ticket yako ya kuhudhuria Historia Concert
Kuna za 20,000/= na 50,000/= chaguo ni lako.
Kisha tukutane Ijumaa hii hapa tar 2 May 2014....
Roma, Prof Jay, Jide na Machozi Band Live siku hiyo
Njoo tuweke Historia kabla hatujawa Historia.”

No comments:

Post a Comment

Mkereketwa. Powered by Blogger.

Health

Documentary

News

Sports

» » Lady Jay Dee, Roma na Profesa Jay kuweka historia katika 'Historia Concert' Leo

‘Historia Concert’ ya Lady Jay Dee, ni tamasha la Historia litakalofanyika leo (May 2) Nyumbani Lounge.
Lady Jay Dee na Machozi Band watapewa sapoti kubwa na wakali wa hip hop Tanzania. Kipi Sijasikia itapigwa Live na Profesa Jay huku Roma akiwakaribisha mashabiki kwenye Karamu na ‘KKK’.
100.5 Times Fm ni imedhamini tamasha hilo.
Jide ameandika katika ukurasa wake wa Facebook ujumbe kwa mashabiki wa ‘Anaconda’:
 “Fanya hivi pita Shear Illusions -Mlimani City, City Sports Lounge -Posta , American Nails n Hair Salon -Kinondoni, Nyumbani Lounge na Million Hairs Salon
Ununue ticket yako ya kuhudhuria Historia Concert
Kuna za 20,000/= na 50,000/= chaguo ni lako.
Kisha tukutane Ijumaa hii hapa tar 2 May 2014....
Roma, Prof Jay, Jide na Machozi Band Live siku hiyo
Njoo tuweke Historia kabla hatujawa Historia.”

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Mwananchi Kweli

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

Video

Gossip

Movie

Technology

Photos