Wednesday, April 30, 2014

Video ya mabao yote ya mchezo wa Real Madrid vs Bayern iko hapa

Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos jana usiku wameiwezesha klabu ya Real Madrid kutinga kwenye fainali ya UEFA Champions League baada ya kipindi cha miaka 12 – baada ya Real Madrid kuifunga Bayern Munich 4-0 kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali uliopigwa kwenye uwanja wa Allianz Arena. Angalia video ya magoli hapo chini…..

No comments:

Post a Comment

Mkereketwa. Powered by Blogger.

Health

Documentary

News

Sports

» » » Video ya mabao yote ya mchezo wa Real Madrid vs Bayern iko hapa

Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos jana usiku wameiwezesha klabu ya Real Madrid kutinga kwenye fainali ya UEFA Champions League baada ya kipindi cha miaka 12 – baada ya Real Madrid kuifunga Bayern Munich 4-0 kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali uliopigwa kwenye uwanja wa Allianz Arena. Angalia video ya magoli hapo chini…..

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Mwananchi Kweli

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

Video

Gossip

Movie

Technology

Photos