Thursday, April 10, 2014

SIKILIZA NA KUPAKUA HAPA WIMBO MPYA WA KALA JEREMIA FT JUMA NATURE& YOUNG KILLER&NAY LEE- WALEWALE REMIX

Haya ndio maneno aliyo yasema Kala Jeremia baada ya jana kuutambulisha wimbo wa walewale Remix aliouachia hiyo jana ''bAADA YA KUGUNDUA KUWA #WALEWALE NI WIMBO UNAOPENDWA NA WATU WA AINA ZOTE YANI WATOTO, WATU WAZIMA, WAZEE, MASELA, MABINTI WAZURI, USHUWANI NA USWAHILINI. SASA TUMEKULETEA REMIX YA #WALEWALE ft#JUMANATURE @youngkillermsodoki & @neyleesupawoman AUDIO INAPATIKANA HULKSHARE NA VIDEO INAPATIKANA YOUTUBE PIA UNAWEZA KUSIKILIZA REDIO AU KUTAZAMA TV UIPENDAYO''

No comments:

Post a Comment

Mkereketwa. Powered by Blogger.

Health

Documentary

News

Sports

» » SIKILIZA NA KUPAKUA HAPA WIMBO MPYA WA KALA JEREMIA FT JUMA NATURE& YOUNG KILLER&NAY LEE- WALEWALE REMIX

Haya ndio maneno aliyo yasema Kala Jeremia baada ya jana kuutambulisha wimbo wa walewale Remix aliouachia hiyo jana ''bAADA YA KUGUNDUA KUWA #WALEWALE NI WIMBO UNAOPENDWA NA WATU WA AINA ZOTE YANI WATOTO, WATU WAZIMA, WAZEE, MASELA, MABINTI WAZURI, USHUWANI NA USWAHILINI. SASA TUMEKULETEA REMIX YA #WALEWALE ft#JUMANATURE @youngkillermsodoki & @neyleesupawoman AUDIO INAPATIKANA HULKSHARE NA VIDEO INAPATIKANA YOUTUBE PIA UNAWEZA KUSIKILIZA REDIO AU KUTAZAMA TV UIPENDAYO''

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Mwananchi Kweli

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

Video

Gossip

Movie

Technology

Photos