Thursday, April 17, 2014

Listi mpya kutoka Forbes ya wasanii wa Hiphop wenye pesa nyingi duniani.(Hiphop Cash King)

22

Listi maarufu sana ya wasanii wa Hiphop wenye pesa nyingi hatimaye imetoka tena kwa mwaka 2014 na sura zikiwa zilezile lakini kuna waliopanda sana na wengine wameshuka kwenye nafasi zao.
1
P Diddy anaweza kuwa msanii wa kwanza wa Hiphop kuwa billionea kwenye miaka michache ijayo kutokana na kasi yake ya kuingiza pesa nyingi na uwekezaji wenye faida kubwa nje ya muziki.
Namba moja kwenye hii listi imekamatwa na P.Diddy ambaye kutokana na mkataba wake mpya na kampuni ya Diageo ambapo bado anahusika na usimamizi wa brand ya Ciroc lakini pia DeLeon Tequila imeongezeka na kuongeza mapato kwake.
Revolt TV anayomiliki P Diddy ambayo imeanza kwa kasi kubwa ndiyo biashara  inayosemekana kuwa inaweza kumfanya Diddy kubwa bilionea wa kwanza kwenye HipHop.
Mwaka jana alikuwa na utajari wa dola millioni 580 lakini ndani ya mwaka mmoja ameingiza dola millioni 120 na kufanya utajiri wake kuwa na jumla ya dola za kimarekani millioni 700.
2

Namba mbili ni ya producer na msanii Dr Dre ambaye ana utajiri wa dola za kimarekani millioni 550.

3
Namba tatu inaenda kwa Jay Z utajiri wake ni dola za kimarekani millioni 520.
4
Namba nne ni ya boss wa YMCMB ‘Birdman’ utajiri wake ni dola za kimarakani millioni 160.
5
Namba tano inamilikiwa na 50 Cent ambaye utajiri wake ni dola za kimarekani millioni 140.

Sorce Millard Ayo.com

No comments:

Post a Comment

Mkereketwa. Powered by Blogger.

Health

Documentary

News

Sports

» » Listi mpya kutoka Forbes ya wasanii wa Hiphop wenye pesa nyingi duniani.(Hiphop Cash King)

22

Listi maarufu sana ya wasanii wa Hiphop wenye pesa nyingi hatimaye imetoka tena kwa mwaka 2014 na sura zikiwa zilezile lakini kuna waliopanda sana na wengine wameshuka kwenye nafasi zao.
1
P Diddy anaweza kuwa msanii wa kwanza wa Hiphop kuwa billionea kwenye miaka michache ijayo kutokana na kasi yake ya kuingiza pesa nyingi na uwekezaji wenye faida kubwa nje ya muziki.
Namba moja kwenye hii listi imekamatwa na P.Diddy ambaye kutokana na mkataba wake mpya na kampuni ya Diageo ambapo bado anahusika na usimamizi wa brand ya Ciroc lakini pia DeLeon Tequila imeongezeka na kuongeza mapato kwake.
Revolt TV anayomiliki P Diddy ambayo imeanza kwa kasi kubwa ndiyo biashara  inayosemekana kuwa inaweza kumfanya Diddy kubwa bilionea wa kwanza kwenye HipHop.
Mwaka jana alikuwa na utajari wa dola millioni 580 lakini ndani ya mwaka mmoja ameingiza dola millioni 120 na kufanya utajiri wake kuwa na jumla ya dola za kimarekani millioni 700.
2

Namba mbili ni ya producer na msanii Dr Dre ambaye ana utajiri wa dola za kimarekani millioni 550.

3
Namba tatu inaenda kwa Jay Z utajiri wake ni dola za kimarekani millioni 520.
4
Namba nne ni ya boss wa YMCMB ‘Birdman’ utajiri wake ni dola za kimarakani millioni 160.
5
Namba tano inamilikiwa na 50 Cent ambaye utajiri wake ni dola za kimarekani millioni 140.

Sorce Millard Ayo.com

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Mwananchi Kweli

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

Video

Gossip

Movie

Technology

Photos