Sunday, April 27, 2014

Jay Z kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika honeymoon ya Kanye West na Kim K na kuwafanyia party kubwa

Jay Z ameripotiwa kumwambia rafiki yake wa karibu kuwa yeye na mkewe Beyonce Knowles na mtoto wao hawatahudhuria katika ndoa ya swahiba wake Kanye West itakayofanyika mwezi ujao jijini Paris Ufaransa.
Sababu za kutohudhuria ndoa hiyo zimeelezwa kuwa ni kutokana na tukio hilo kupangwa kuoneshwa kwenye reality show ya Keeping Up with the Kardashians.
Hata hivyo, chanzo kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Jay Z amepanga kuwafanyia party kubwa baada ya tukio hilo itakayofanyika New York kwenye club yake ‘Club 40/40’ na kwamba amepanga kutumia kiasi cha  £100,000 katika honeymoon yao kama zawadi yake.
“Instead he's making it up to his mate by throwing him the most extravagant bachelor party known to man. It will cost a small fortune - and to top it all off, he's chucked a £100 000 yacht rental in there as a wedding gift as well.” Kimeeleza chanzo hicho katika maelezo yake.

No comments:

Post a Comment

Mkereketwa. Powered by Blogger.

Health

Documentary

News

Sports

» » » » Jay Z kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika honeymoon ya Kanye West na Kim K na kuwafanyia party kubwa

Jay Z ameripotiwa kumwambia rafiki yake wa karibu kuwa yeye na mkewe Beyonce Knowles na mtoto wao hawatahudhuria katika ndoa ya swahiba wake Kanye West itakayofanyika mwezi ujao jijini Paris Ufaransa.
Sababu za kutohudhuria ndoa hiyo zimeelezwa kuwa ni kutokana na tukio hilo kupangwa kuoneshwa kwenye reality show ya Keeping Up with the Kardashians.
Hata hivyo, chanzo kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Jay Z amepanga kuwafanyia party kubwa baada ya tukio hilo itakayofanyika New York kwenye club yake ‘Club 40/40’ na kwamba amepanga kutumia kiasi cha  £100,000 katika honeymoon yao kama zawadi yake.
“Instead he's making it up to his mate by throwing him the most extravagant bachelor party known to man. It will cost a small fortune - and to top it all off, he's chucked a £100 000 yacht rental in there as a wedding gift as well.” Kimeeleza chanzo hicho katika maelezo yake.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Mwananchi Kweli

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

Video

Gossip

Movie

Technology

Photos