Basi la Hood lilivyoungua moto na kuteketea kabisa.
Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments:
Post a Comment