Showing posts with label DOWN LOAD&LISTEN. Show all posts

Saturday, April 26, 2014

(NEW AUDIO) BELLE 9 – WEWE NAMI

Belle 9 ni msanii anayefanya ngoma zake kwa hisia kali sana na kupelekea mashabiki wake wengi kumkubali kwa nyimbo zake kama ‘Listen’,’Wanitaka’ kwa kile anachofanya katika game la music hapa Bongo sasa ametoa joint mpya inafahamika kama ‘Wewe Nami’.

Enjoy good music from Belle 9.

Friday, April 25, 2014

50 Cent aiponda albam nzima ya Kanye West 'Yeezus', asema kwake sio hip hop ni kama muziki wa dansi

Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameweka wazi kuwa haipendi kabisa albam ya Kanye West ‘Yeezus’ na kwamba kwake bado anasikiliza albam ya mwaka 2004 ya rapper huyo ‘The College Dropout’.
Rapper huyo alitoa mtazamo wake kuhusu albam hiyo wakati akifanya mahojiano na MTV News ya U.K.
“(Kanye West) ni kipaji katika utamaduni wetu na ni moja kati ya nguvu zinazousogeza, lakini kuna vitu vingine ni vya ajabu kwangu.” Alisema 50 Cent.
“Record hiyo ya mwisho, niwe mkweli, siichezi/siisikilizi sasa hivi. Bado nacheza ‘Flashing Lights’, ‘Gold Digger’ na mradi nzima ya ‘The College Dropout’. Lakini baadhi ya vitu vipya ni vya kiubunifu sana na nahisi kama anajaribu kutengeneza sound mpya.”
“It sounds scrambled... radio is going to play dance music, EDM - you got a lot of stuff happening in music culture that's influencing a lot of R&B music to that tempo. It doesn't feel like Hip-Hop to me, it feels like a fusion of something else, like a weird combination of dance music sounds and stuff.”
50 alieleza kuwa Kanye West ni msanii, na kwamba sio lazima ukubaliane ka kila kitu anachofanya msanii na kujitolea mfano yeye kuwa hana msanii anaempenda zaidi lakini kuna nyakati anazozipenda zaidi kutoka kwa wasanii.
50 Cent anajiandaa kuachia albam yake mpya ‘Animal Ambition’ ambayo inatarajiwa kuingia sokoni June 3.

Rich Mavoko aeleza kwa nini 'Roho Yangu' hajauweka kwenye miito ya simu

Wimbo wa Rich Mavoko ‘Roho Yangu’ ni moja kati ya nyimbo zilizofanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri kwa mwaka 2013/2014 huku mashabiki wakirudia baadhi ya maneno ya wimbo huo kama misemo.
Kwa jinsi wimbo huo ulivyohit ni wazi kwamba ungeweza kuwa kati ya nyimbo ambazo zingechaguliwa na watumiaji wengi wa simu za mkononi kuwa sehemu ya miito ya simu zao lakini wimbo huo haupo katika biashara hiyo.
Rich Mavoko ameuambia Mtandao Wa Times Fm sababu zinazopelekea kutokuwepo kwa wimbo huo katika biashara ya miito ya simu.
“Nyimbo zangu nyingi za mwanzo zimekuwa kwenye ringtone na sijapata faida yeyote kwenye ringtone. I swear to God sijapata faida yoyote kwenye ringtone za kibongo wala sioni umuhimu wa ringtone kama tunavyonyonywa wasanii. Mimi nitakuwa msanii wa kwanza wakisema tunatoa hiyo system…kwa sababu sipati faida yoyote zaidi ya kupata stress. Yaani kumfuata mtu kuanza kumwambia malipo yangu…mimi nimeimba halafu wewe unisumbue mimi. Na unapokuja na makaratasi yako kusaini unaniomba mwanangu utapata asilimia hizi, sipati asilimia zozote. Roho Yangu siwezi kuiuza huko, inabidi niuze nyimbo kama nyimbo.”

Chanzo 100.5 fm

Sunday, April 13, 2014

PAKUA NA KUSIKILIZA HAPA WIMBO MPYA WA LADYJAYDEE NASIMAMA

Huu ni wimbo mpya wa Lady jay dee aliouachia ambao amefanya katika studio za Sharobaro Record.

Mkereketwa. Powered by Blogger.

Health

Documentary

News

Sports

Label: DOWN LOAD&LISTEN

Video

Gossip

Movie

Technology

Photos