Showing posts with label DOWN LOAD&LISTEN. Show all posts

Saturday, April 26, 2014
Friday, April 25, 2014
50 Cent aiponda albam nzima ya Kanye West 'Yeezus', asema kwake sio hip hop ni kama muziki wa dansi
Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameweka wazi kuwa haipendi kabisa albam ya Kanye West ‘Yeezus’ na kwamba kwake bado anasikiliza albam ya mwaka 2004 ya rapper huyo ‘The College Dropout’.
Rapper huyo alitoa mtazamo wake kuhusu albam hiyo wakati akifanya mahojiano na MTV News ya U.K.
“(Kanye West) ni kipaji katika utamaduni wetu na ni moja kati ya nguvu zinazousogeza, lakini kuna vitu vingine ni vya ajabu kwangu.” Alisema 50 Cent.
“Record hiyo ya mwisho, niwe mkweli, siichezi/siisikilizi sasa hivi. Bado nacheza ‘Flashing Lights’, ‘Gold Digger’ na mradi nzima ya ‘The College Dropout’. Lakini baadhi ya vitu vipya ni vya kiubunifu sana na nahisi kama anajaribu kutengeneza sound mpya.”
“It sounds scrambled... radio is going to play dance music, EDM - you got a lot of stuff happening in music culture that's influencing a lot of R&B music to that tempo. It doesn't feel like Hip-Hop to me, it feels like a fusion of something else, like a weird combination of dance music sounds and stuff.”
50 alieleza kuwa Kanye West ni msanii, na kwamba sio lazima ukubaliane ka kila kitu anachofanya msanii na kujitolea mfano yeye kuwa hana msanii anaempenda zaidi lakini kuna nyakati anazozipenda zaidi kutoka kwa wasanii.
50 Cent anajiandaa kuachia albam yake mpya ‘Animal Ambition’ ambayo inatarajiwa kuingia sokoni June 3.
Rich Mavoko aeleza kwa nini 'Roho Yangu' hajauweka kwenye miito ya simu
Wimbo wa Rich Mavoko ‘Roho Yangu’ ni moja kati ya nyimbo zilizofanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri kwa mwaka 2013/2014 huku mashabiki wakirudia baadhi ya maneno ya wimbo huo kama misemo.
Kwa jinsi wimbo huo ulivyohit ni wazi kwamba ungeweza kuwa kati ya nyimbo ambazo zingechaguliwa na watumiaji wengi wa simu za mkononi kuwa sehemu ya miito ya simu zao lakini wimbo huo haupo katika biashara hiyo.
Rich Mavoko ameuambia Mtandao Wa Times Fm sababu zinazopelekea kutokuwepo kwa wimbo huo katika biashara ya miito ya simu.
“Nyimbo zangu nyingi za mwanzo zimekuwa kwenye ringtone na sijapata faida yeyote kwenye ringtone. I swear to God sijapata faida yoyote kwenye ringtone za kibongo wala sioni umuhimu wa ringtone kama tunavyonyonywa wasanii. Mimi nitakuwa msanii wa kwanza wakisema tunatoa hiyo system…kwa sababu sipati faida yoyote zaidi ya kupata stress. Yaani kumfuata mtu kuanza kumwambia malipo yangu…mimi nimeimba halafu wewe unisumbue mimi. Na unapokuja na makaratasi yako kusaini unaniomba mwanangu utapata asilimia hizi, sipati asilimia zozote. Roho Yangu siwezi kuiuza huko, inabidi niuze nyimbo kama nyimbo.”
Chanzo 100.5 fm
Sunday, April 13, 2014
PAKUA NA KUSIKILIZA HAPA WIMBO MPYA WA LADYJAYDEE NASIMAMA

Huu ni wimbo mpya wa Lady jay dee aliouachia ambao amefanya katika studio za Sharobaro Record.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Mkereketwa. Powered by Blogger.
Health
Documentary
News
Sports
Label: DOWN LOAD&LISTEN

Posts
(
Atom
)
Popular Posts
-
HII INAKUHUSU!!! VIWANJA VI5 VIKUBWA ZAIDI DUNIANI HIVI HAPA
5. Camp Nou Capacity: 98,772 Location: Barcelona, Spain 4. Bukit Jalil National Stadium Capacity: 110,000 Location: Kuala Lumpur, Malaysia 3... -
KANISA LA BEYONCE LAAZISHWA
Si tu anavutia mashabiki wengi duniani kote, ‘King Bey’ (kama anavyojiita mwenyewe) sasa ana waumini wa kanisa lenye jina lake. Kanisa hilo ... -
Wimbo mpya wa Mafiki zolo Ft Davido sikiliza na ku download hapa
Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limejigamba baada ya kushinda tuzo nane katika tuzo za Afrika Kusini zinazojulikana kama South Africa M... -
Kwa Mashabiki wa Rihana: Hizi ni picha hizi ni picha 14 za nusu Utupu alizopiga Brazili kwa ajili ya Jarida la VOGUE
Kama kawaida ya mrembo huyu Ny amekuwa akipamba majarida makubwa duniani kwa picha zake hasa za nusu utupu na kwa upande wake anaona kawaida...